KENDRICK LAMAR BEST MC'EE 2013
Posted in 2 Chainz, A$ap Rocky, Big Sean, Drake, Future, Kanye West, Kendrick Lamar, Meek Mill, Nas, Rick RossKama ilivyokuwa inasubiriwa kwa muda mrefu, MTV imemtaja Kendrick Lamar kuwa yeye ndio MC mkali [Hottest MC] kwa mwaka wa 2013.
MTV imekuwa ikitaja msanii mmoja mmoja kwa wiki kdhaa sasa reaching to the top where KENDRICK belongs, wasanii waliofauata ni 2 Chainz aliepora nafasi ya pili na nafasi ya tatu ikiwa imechukuliwa na rapper kutoka Miami, Maybach Music Group ring leader, Rick Ross ambae alikuwa mshindi last year.
Nafasi ya nne imeshikiliwa na rapper Nas huku ya tano ikichukuliwa na YMCMB rapper, Drake.
Check list nzima hapa chini:
1. Kendrick Lamar
2. 2 Chainz
3. Rick Ross
4. Nas
5. Drake
6. Big Sean
7. Kanye West
8. A$AP Rocky
9. Future
10. Meek Mill.
Check the video hapa chini:
Get More:
Music News
0 Maoni/comments: