PAPA BENEDICT WA 16(POPE BENEDICT XVI) KUJIUZULU
Posted in Pope Benedict XVI
Papa Benedict wa 16, Atoa taarifa ya kujiuzulu wadhifa wake, kutokana na umri kwani Umri wake unamzuia kufanya mambo mengi kama papa.
Pope Benedict XVI akiwa katika Ibada huko Vatican mnamo February 9, 2013. Photograph: Alessandro Bianchi/Reuters
Mzungumzaji wa Gazeti la Guardian Huko Ulaya, Anasema Nafasi Ya PAPA itakua wazi hadi tarehe 28, Februari ambapo Papa mpya atachagulia.
Habari zaidi Kukujia>> STAY TUNED
0 Maoni/comments: