Tuesday, February 12, 2013

0

NEW VIDEO: DRAKE-''STARTED FROM THE BOTTOM''

Posted in , ,


Baada ya kujichukulia Tuzo ya Best Rap Album kupitia TAKE CARE kwenye Grammy Awards ambazo zilifanyika jana, rapper Drake sasa ameachia video ya ngoma yake mpya ya ''STARTED FROM THE BOTTOM''.
Video ya wimbo huo imefanyiwa shooting katika jiji la Toronto, Canada.

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ