BENJAMIN WA MAMBO JAMBO AACHIA NGOMA MPYA(download hapa)
Posted in Benjami wa Mambo Jambo
Benjamin Wa Mambo Jambo ni msanii kutoka Art In Tanzania ambae ameshafanya ngoma kibao kama Nimefulia, My Friend na nyinginezo. Sasa hii ni track nyingine mpya kutoka kwake, inaitwa ''SCANDAL''.
Kuwa wa kwanza kuisikiliza hapa chini...
0 Maoni/comments: