LADY FIRE-TENDO ft JAMBO SQUAD
Posted in Jambo Squad, Lady Fire, Noizmekah RecordsMaalmando wa JamboSquad wafungua mwaka kwa "TENDO",pini la Amando Lady Fire alodundia pande za noizmekah.com huku verse ya pili na ya tatu zikishikiliwa na Ordinally pamoja na NiggaC, Download HAPA na endeleza support kwa muziki wa Tanzania. kwa mawasiliano zaidi/Bookings na interview bonga na LadyFire kupitia +255 758 395 797
0 Maoni/comments: