Tuesday, November 6, 2012

0

Wanene's Cypher#2>>>HIP HOP ya ARUSHA KWA TENA

Posted in , , , ,




Hii ni cypher ya pili katika series ya cypher tatu ambayo ina wasanii wakubwa na underground wa Arusha ambapo walioshiriki ni pamoja na Daz Naledge, Chabba, JCB, na BoyWonda wa FBG.
Cypher hii imerokodiwa Fnouk Studios na Sam Timber, imefanyiwa mixing na Daz Naledge na beat imetengenezwa na Darsh Pandit wa Wanene Entertainment.
Video imerekodiwa na Dark-Q Photography’s Darlington Mbasha na lights zimefanyiwa set-up by Nisher Entertainment.

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ