DOWNLOAD ALBUM MPYA YA RIHANNA (UNAPOLOGETIC)>>LYRICS NA REVIEW ZIPO PIA
Posted in RihannaBaada ya kusikiliza Album yake ya RATED R hapo zamani, nkajua hatotoa album nyingine nzuri lakini, akaja kutoa ALBUM iliyoitwa LOUD hapo 2010, nikajua ndo mwisho, then akaja na kitu TALK THAT TALK 2011, na Sasa ni UNAPOLOGETIC ambayo tayari inauza sana, huku bado akiendelea kuuza ile Talk That Talk. RIHANNA NI NOOOOOMA.
Download hapa Album hiyo mpya kwa Torrent:>> RIHANNA-UNAPOLOGETIC (DELUXE EDITION)
LISTI YA NYIMBO ZILIZOMO NA LYRICS
Phresh Out The Runway
Diamonds
Numb
Pour It Up
Loveeeeeee Song
Jump
Right Now
What Now
Stay
Nobody's Business
Love Without Tragedy / Mother Mary
Get It Over With
No Love Allowed
Lost In Paradise
Half Of Me
0 Maoni/comments: