Sunday, September 9, 2012

0

Waliogundua Blogger Mwaka 1999

Posted in , , , ,


1.Meg Hourihan
2.Evan Williams

Hawa watu wawili ndo wanawatia kiwewe ndugu zangu wa kitanzania,kila mtu anataka kuwa na blog..well,hawa wanahusika na ndio waligundua blogger 1999! Blogger ilivyouzwa kwa Google 2003,Evans akasepa na kwenda kugundua TWITTER na Jack Dorsey!

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ