Wednesday, September 5, 2012

0

AFCON 2013: Raundi ya Mwisho ya Mtoano Wikiendi hii!!

Posted in
Mechi 15 za kwanza za Raundi ya Mwisho ya Mtoano ambazo zitatoa Timu15 zitakazocheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2013, pamoja na Wenyeji Afrika Kusini, Fainali ambayo itafanyika Januari 2013, zitachezwa Wikiendi hii inayokuja na Mabingwa Watetezi wa Afrika, Zambia, watakuwa nyumbani kucheza na Uganda huku, bila shaka, Mechi yenye mvuto mkubwa itakuwa kati ya Ivory Coast na Senegal.
Marudiano wa Mechi za Raundi ya Mwisho ya Mtoano yatakuwa kati ya Oktoba 12 hadi 14.
Droo ya kupanga Mechi za Fainali ya AFCON 2013 itafanyika Oktoba 15 mara baada ya kupatikana Washindi 15 wa Raundi ya Mwisho ya Mtoano.
RATIBA:
[Saa ni za Bongo]
Jumamosi Septemba 8
16:00 Zambia v Uganda
17:00 Central African Republic v Burkina Faso
17:30 Congo, DR v Equatorial Guinea
17:30 Gabon v Togo
18:00 Ghana v Malawi
19:30 Sierra Leone v Tunisia
20:00 Sudan v Ethiopia
20:00 Ivory Coast v Senegal
20:00 Cape Verde v Cameroon
20:00 Mali v Botswana
21:00 Liberia v Nigeria
Jumapili Septemba 9
16:00 Zimbabwe vAngola
16:00 Mozambique v Morocco
20:00 Libya v Algeria
20:00 Guinea v Niger
FAHAMU: Marudiano ni kati ya Oktoba 12 na 14.
Source: SOKA IN BONGO

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ