Friday, September 14, 2012

0

A DOZEN QUEST: WITH WITNESZ MWAIJAGA(RAP QUEEN TZ)

Posted in , ,
KATIKA MUENDELEZO WA SEHEMU YETU YA INTERVIEW KATIKA BLOG YETU, BAADA YA KUFANYA INTERVIEWS NA WASANII KAMA, Nuru, Stamina, Mecca Cheka, Tash, LEO TUMEBAHATIKA KUFANYA INTERVIEW NA RAP-QUEEN, WITNESZ MWAIJAGA AMBAYE ALIKUWA MEMBER KUNDI WASHINDI WA COCA COLA POPSTAR ''WAKILISHA''
----------------------------------------------------------------------------------------------------------


1.A.B: Nani Unayempa Credits Kwa kukufanya ufike hapo Ulipo??
Myself maybe Buster Ryhmes na mungu ndiye muweza.
 
 
 
2.A.B: Marital Status? Mhusika anaitwa nani?
Married- Mokeyz International
Ni husband
 
 
3.A.B: When Did You get serious with the game?
1997 or six
 
 
 
4.A.B: Who inspired you?
Buster Rhymes
 
 
 
5.A.B: Apart from Music what do you do?
Am a nutritionist, in network marketing, women empowerment speaker, HIV/Aids,Llifeskills life styles in short i do community work
 
 
6.A.B: Fan Wa sports Team Gani Tz na Abroad??
none
 
 
7.A.B: Umepata Mafanikio Gani Ya Kufurahisha sana katika fani yako??
Duh ni mengi mengine soma kwenye blog yangu WITNESZ BLOG but most recently ni kwenda kwenye ziara ya hip hop and civic engagement Marekani na kupata kujua chimbuko halisi la hip hop na elements zake pamoja na kukutana na watu wanaofanya vyema kwenye the music industry
 
8.A.B: Umekuwa na dream ya kufikia level gani ya idol wakoi? /Dream ya kufanya kazi na nani?
Buster Rhymes
 
 
 
#A.B: I guess Busta, Has Played a big role in showng green lights to your career

9.A.B: Umeshakua Involved in any Beef??
No beef No scandles
 
 
 
##A.B: you keepin it cool
Yeah
 
 
 
10.A.B: Whats Your favourite DressCode??
I dont know i just go with the flow or you can call it a weired dresscode
 
 
 
 
11.A.B: Unamkubali Fashionist gani Tz na What Fashion Brand??
None
#A.B: Seems You Aint Into fashion Kabisa
Witnesz: yeah but i like to dress up and feel good
 
 12. A.B: Favourite Activity
Eating with my husband
 
 
 
##A.B: Have you ever Thought of A Reunion With ''WAKILISHA'' And are you in good terms with Fellow members?
yes i have been thinking about it so many times actually its the circumstances keeping us appart and yes am in good terms with everybody
 
 
##AB: Thats Great, Hope you will have a reunion someday, When Are you expecting to release a new track
By the end of this month
its the video the audio is already out its called rock superstar

 
ILI KUWA KARIBU NA WITNESZ MWAIJAGA Tembelea Blog yake:  WITNESZ BLOG
Facebook: Witnesz FB
 
 

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ