Saturday, August 25, 2012

0

NEW TRACK: Anapita-A Call

Posted in ,
''Anapita aja na Reggae "A call",ikiwa ni brand new track toka pande za noizmekah.com juu ya riddim la kijamaica "heart & soul riddim",Nimeimba kuhusu kufata ndoto zetu katika maisha,Kuondokana na dhana potofu kuwa maisha yana formula flani.Shule ni muhimu sana katika kuturahisishia maamuzi maishani,Pasipo uelewa na maarifa,Maisha huonekana magumu zaidi,Matumizi ya vilevi kupita kipimo ama hata kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya yote ni matokeo ya kupuuza malengo endelevu na kufata mikumbo.A call ni inspirational reggae song ambayo kwa haraka ni rahisi kuiweka katika category ya Gospel ambayo ni sawa pia,kwani kazi yangu kama artist, especially wa kike kuelimisha vijana wenzangu.Enjoy and support Tanzanian Music''--DEF XTRO

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ