Monday, August 27, 2012

0

Mkimbiza Upepo Toka Jamaica, Yohan BLAKE, Amwagia Sifa Kinda Raheem Starlet

Posted in , , ,
Mjamaica ambaye ndiye Binadamu wa pili mwenye mbio zaidi Duniani, Yohan Blake, amemwagia sifa Kinda wa Liverpool Raheem Sterling, ambaye alionyesha kiwango safi dhidi ya ManCity mnamo Jumapili wakati wa mechi ya Ligi kuu Uingereza jijini Liverpool Uwanjani anfield.
Blake alimwaga sifa hizo kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na Kuandika 
 "Hail up fellow Yardie-- Raheem Sterling of Liverpool FC! Big up yourself @sterling31".
 Raheem Sterling, Liverpool v Bayer Leverkusen - Pre Season Friendly

Sterling alizaliwa Jamaica mnamo mwaka 1994, na alihamia Uingereza, na jana ndo alicheza Mechi yake ya Kwanza, Na Kufanya yasiyo Tegemewa.

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ