Saturday, August 25, 2012

0

Barclays Premier League 25th August: PREVIEW

Posted in , , , ,
Timu Nyingine Zitakua Zikicheza Mechi zao za Pili, Huku Chelsea ikicheza Mechi Yake ya 3. Katika Mitanange Ya Leo Mechi Kali zaidi inayotazamiwa ni Kati YA NEWCASTLE VS CHELSEA, Na Manchester United VS FULHAM.
RATIBA>>


England - Premier League
 August 25 

 05:00Swansea C.? - ?West Ham U.

 05:00Aston Villa? - ?Everton

 05:00Manchester U.? - ?Fulham

 05:00Norwich C.? - ?Queens Park R.

 05:00Southampton? - ?Wigan Athletic

 05:00Sunderland? - ?Reading

 05:00Tottenham H.? - ?West Bromwich A.

 07:30Chelsea? - ?Newcastle U.

1.Manchester United VS Fulham-Old Trafford


Contrasting fortunes is the perfect used to describe the result of the opening weekend for Manchester United and Fulham. While Fulham romped home to a thumping 5-0 victory against Norwich City, United endured a torrid time against Everton at Goodison Park losing 1-0. Manchester United will be hoping for a change in fortunes, while Fulham will look to add to their table topping performance last week. If last week was anything to work with, this match will be an absolute cracker. Manchester United will get the defeat to Everton and bounce back, while Fulham will look to build on a dream start.
#Utabiri: ManUtd 5 Fulham 2

2. Chelsea VS Fulham-Stamford Bridge
http://mixturesport.com/wp-content/uploads/2012/08/Flyer_Chelsea-Newcastle_anglais__2013_-516x314.jpg
Ni Mechi Kali Inayosubiriwa na watu wengi hasa ukizingatia Chelsea Imefanya Usajili Mkali sana, Newcastle Wana Forward Line Nzuri sana ambayo Itatiza Beki Mbovu Ya Chelsea ambayo mpaka sasa Haijajiweka sana, Huku Wakitegemea David Luiz Kurudi katika Mechi Ya Leo. Eden Hazard Amekuwa ni mwiba mkali Huku akiwa na Assist 3, Fernando Torres Ana goli mbili mpaka sasa.
CHelsea leo Itakua ikicheza Mechi Yake Ya 3, huku Newcastle akiwa anacheza Mechi yake ya 2. Wasenegali Demba Ba na Demba Cisse ni wakuwaogopa sana katika mechi ya Leo.
#Utabiri: Chelsea 2 Newcastle 3



 


0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ