Tuesday, August 21, 2012

0

Baadhi Ya Picha za Tamasha La Eid: SummerJam Arusha

Posted in , ,
Tamasha lililoandaliwa na Mambo Jambo Radio: Mambo Jambo Summer Jam, Lilifana, na Hizi ni Baadhi Ya Picha.
'' Ikiwa ni tamasha la kwanza kabisa la aina yake kufanyika jijini Arusha kwa mwezi wa Agosti 2012,Mambo Jambo Summer Jam ilofanyika siku ya Jumapili pale Sheikh Amri Abeid Stadium tarehe 19 ilokuwa siku ya Idd El Fitr ilifana sana kwa umati wa wakazi zaidi ya elfu nne toka Arusha,Wasanii wote waliowakilisha katika tamasha walishangiliwa vilivyo na hakika mashabiki walifurahia burudani hiyo ilotolewa kwa hisani kubwa ya Mambo Jambo Radio 93.0 FM Arusha.Much love kwa fans wote wa Muziki Arusha na  Mambo Jambo''   --------Def Xtro












0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ