London Olympics 2012-Yanayohusika.
Posted in London Olympics 2012
Kwanza Tunamshukuru MOLA kwa kutujalia kuwa na Reporter Jijini LONDON.
Haya Ni mambo baadhi yatakayokuwamo ndani ya Olympics: Picha Na Author wetu Stephen Beda.
#Vitanda vitakavyotumika na wanamichezo katika kipindi hiki cha Olympic,hamna cha kwenda Hilton Hotel wala Holiday Inn
Hii ndiyo Canteen ya wanamichezo wote watakaoshiriki The Olympics In London.
Na vyumba na vitanda vyao vyote kama vya hostel,hakuna gharama za hotel this time around.
Safi sana London. #Imagine Neymar yuko canteen
Hayo Ni baadhi Tu.... Mengine mengi yanafata.

0 Maoni/comments: