Monday, July 30, 2012

0

Download NEW Track: ASANTILE-Rama B

Posted in
SONG: ASANTILE
ARTIST:RAMA.B
STYLE:RESEMBLE
STUDIO:GRANDMASTER
PRODUCER:JOHN.B
LOCATION:ARUSHA

ASANTILE- ni wimbo wenye ubunifu wa style mpya kabisa AFRICA ambayo inaitwa RESEMBLE STYLE ambapo maneno huimbwa kwa lugha moja kati ya kingereza au kiswahili lakini wasikilizaji wote wa lugha za kingereza na kiswahili huweza kupata maana na ladha iliyokamili.

Katika wimbo huu ASANTILE ina maana i I SIGN TEARS kwa jinsi nilivyoitamka hvyo wasikilizaji wanaojua kingereza watapata maana, pia ASANTILE inamaana ASANTE na jina la msichana wa KIBANTU (nyakyusa girl).  Pia kiitikio(chorus) kimeimbwa kingereza katika melody (mahadhi) ya kibantu kutanua soko la muziki wa TANZANIA.

''WEWE KAMA MDAU MKUU  ULIEFANIKISHA SANAA YA TANZANIA KUFIKA MPAKA HAPA ILIPO ,KWA UWEZO WAKO NA WA MUNGU NINA IMANI  STYLE HII ITATANUA MUZIKI WETU. MUNGU AKUBARIKI''---Rama

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ