Jun
2012
18
LIGI KUU ENGLAND: RATIBA MSIMU wa 2012/13 yatoka!
Msimu huu utatanguliwa na Mechi ya
fungua pazia kugombea Ngao ya Hisani itakayochezwa hapo Agosti 12 kati
ya Mabingwa wa Ligi Manchester City na Mabingwa wa FA Cup Chelsea.
Mabingwa Watetezi Manchester City
wataanza kampeni yao kutetea Taji kwa Mechi ya nyumbani kwa kucheza na
Southampton Timu ambayo imepanda Daraja Msimu huu.
Manchester United wataanza ugenini huko Mjini Liverpool kwa kucheza na Everton.
RATIBA RAUNDI ya Ufunguzi:
Jumamosi Agosti 18
Arsenal v Sunderland
Everton v Manchester United
Fulham v Norwich City
Manchester City v Southampton
Newcastle United v Tottenham Hotspur
Queens Park Rangers v Swansea City
Reading v Stoke City
West Bromwich Albion v Liverpool
West Ham United v Aston Villa
Wigan Athletic v Chelsea
Jumamosi Agosti 25
Aston Villa v Everton
Chelsea v Newcastle United
Liverpool v Manchester City
Manchester United v Fulham
Norwich City v Queens Park Rangers
Southampton v Wigan Athletic
Stoke City v Arsenal
Sunderland v Reading
Swansea City v West Ham United
Tottenham Hotspur v West Bromwich Albion
BIGI MECHI [Mechi zenye mvuto]:
Jumamosi Septemba 1
Liverpool v Arsenal
Jumamosi Septemba 22
Liverpool v Manchester United
Manchester City v Arsenal
Jumamosi Septemba 29
Arsenal v Chelsea
Manchester United v Tottenham Hotspur
Jumamosi Oktoba 27
Chelsea v Manchester United
Everton v Liverpool
Jumamosi Novemba 3
Manchester United v Arsenal
Jumamosi Novemba 10
Chelsea v Liverpool
Manchester City v Tottenham Hotspur
Jumamosi Novemba 17
Arsenal v Tottenham Hotspur
Jumamosi Novemba 24
Chelsea v Manchester City
Jumamosi Desemba 8
Manchester City v Manchester United
0 Maoni/comments: