Next
Previous
Showing posts with label Global Publisherz. Show all posts

Friday, June 14, 2013

0

OMMY DIMPOZ ASEMA HII NDO SABABU ILIYOFANYA NICHAFULIWE GAZETINI

Posted in ,
gazetiMapema leo hii, kimeonekana kichwa cha habari katika moja ya magazeti ya udaku kikiongelea OMMY DIMPOZ kumkashifu/kumtusi marehemu ALBERT MANGWEA [R.I.P] … Baadae kidogo Ommy Dimpoz aliandika mtandaoni kuwa si kweli na ni story ya kutunga tu kutaka kumchafua kisanii … Ommy, “Nimesikitishwa sana na hii habari iliyotoka global publishers Wanatengeneza story ili wauze magazeti yao” … alimaliza Dimpoz na kutupia picha hii hapa …

Lakini Ommy hakuishia hapo, alionesha kukerwa zaidi na front page hiyo na kuandika sababu ya gazeti hilo kumchafua namna hiyo …

Hichi ndicho Ommy alichoandika … “Nilipigiwa simu ya kibiashara kwa ajili ya kufanya show na global publishers kwa sababu hatukuafikiana kwenye malipo ndo wameamua kunichafua ..”

Friday, May 4, 2012

0

Baadhi Ya picha Za Diamond akiwa Dar Live

Posted in , ,
Akiwa anasali kabla ya safari

Akiwa anaelekea kwenye Chopper

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ