Next
Previous
Showing posts with label Fiesta. Show all posts

Tuesday, August 27, 2013

1

YEEUWI: HII NI SHOW AU?? | PICHA ZA SHILOLE FIESTA SINGIDA (hd)

Posted in ,

PICHA 10 ZA AJABU NAMNA SHILOLE ALIVYOONESHA "BIKINI" KWENYE FIESTA TABORA NA SINGIDA,DUHH KUMRADHI

Tuesday, January 1, 2013

0

DIAMOND-"SHOW YANGU ILIYOZUA MANENO MENGI MWAKA 2012 NA HADI LEO HII INAZUNGUMZIWA NI HII...

Posted in , , ,


Monday, October 8, 2012

0

PICHA YA DIAMOND KUMWAGA RADHI, YACHEFUA WATANZANIA

Posted in , ,



Jumamosi katika Show ya Serengeti Fiesta Diamond alionyesha kituko ambacho baadhi ya watu hawakukichukulia vizuri Hii ilikuwa baada ya Show ya Rick Ross Diamond Alipanda na Wachezo Show Wake na kutoa Show kali ambapo katika hiyo Show yeye na Madansa wake waliamua kuvua Suruali zao na kuonyesha Boxer zao kama inavyoonyesha hapo kwenye Picha...Kwa kudai kuwa wao ni wasafi mpaka ndani ..lakini kitendo hicho kimechukuliwa kuwa Dimond ni Shoga na wengine kusema ni Ishara za Ufreemanson Hizo ...Hata mie Hapo bado Sijamuelewa Diamond labda nitajitahidi kumtafuta nipate maelezo yake kwanini alifanya vile.....

Sunday, October 7, 2012

0

COLLECTION YA PICHA ZA FIESTA 2012 NA RICK ROSS ''THE BOSS''

Posted in ,
UMATI WA MASHABIKI ULIOJITOKEZA
Rick Ross Akiperform


UMATI WA MASAHABIKI ULIOKUWEPO


CAMERAMAN wa RICK ROSS



Saturday, October 6, 2012

0

MH. SUGU, ASEMA TRA WAMTOZE KODI RICK ROSS KUTOKANA NA MAPATO ATAKAYOPATA LEO KATIKA FIESTA

Posted in , , ,
MWANAMUZIKI nguli wa Hip hop Tanzania na Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Osmund Mbilinyi amewapa mwongozo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu ziara ya mwanamuziki nyota wa Hip hop Marekani, William Leonard Roberts II anayetambulika kama Rick Ross au The Boss, kwamba anastahili kulipa kodi kutokana na pato atakalaolingiza katika shoo yake ya leo. Rick Ross atatumbuiza usiku wa leo katika tamasha la Serengeti Fiesta 2012 kwenye viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam, ambalo linaandaliwa na Prime Time Promotions na  kudhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL). 

Mbunge Mbilinyi ambaye anajulikana kwa majina ya kimuziki kama Mr II au Sugu, ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook;
“RICKY ROSS ANAKUJA, SAWA HAINA SHIDA… ILA TUNATAKA KUJUA AMELIPWA KIASI GANI NA ATAKATWA KIASI GANI KIBAKI KWENYE KODI YA TAIFA LETU KAMA AMBAVYO MIMI NIKIENDA KUFANYA SHOW/CONCERT MAREKANI NAKATWA KODI NA SERIKALI YAO…”. 
The Boss, ameahidi kukonga nyoyo za mashabiki watakaohudhuria tamasha la Serengeti Fiesta 2012 jioni ya leo kwenye viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam. Rapa huyo, aliyefikia katika  hoteli ya Hyatt, zamani Kilimanjaro Kempensky, Dar es Salaam, ambaye alizaliwa JanuarI 28, mwaka 1976 huko Carol City, Florida, Marekani alisema hayo baada ya kutua Dar es Salaam usiku wa jana. “Rick Ross ametua na ameahidi kufanya shoo kali sana,”alisema Allan Chonjo, Meneja wa Bia ya Serengeti, wadhamini wakuu wa Fiesta.

Thursday, October 4, 2012

0

TWEET YA MWISHO YA RICK ROSS>> ''HEADED TO TANZANIA''

Posted in , ,
The Teflon Don, Ama Rick Ross ''THE BOSS'' Leader wa The Untouchable Empire 'MayBach Music Group' MMG, Ametoka leo huko atokako na kuanza safari ya Kuja kwetu Tanzania kwa ajili ya show ya mwaka, Show Kubwa.... FIESTA 2012, Hope watu wote Mko Tayari???
BHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAASSS!!!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ