Wednesday, January 8, 2014

0

HUYU NDO MZUNGU ALIYEOMBA KUFUNDISHWA KUKATA MAUNO NA SNURA

Posted in
 Raia wa kigeni kutoka germany aliejulikana kwa jina moja tu la Joan amesema tangu afike tanzania mienzi mitatu sasa amejikuta akivutiwa sana na kazi za snura hasa katika swala zima la jinsi anavyolitawala jukwaa kwa style yake ya viuno vilivyoovurugwa amesema Ataakikisha anaondoka na snura mpaka nchini kwao kwa ajili yakwenda kufundishwa viuno tu.
 Joan akiwa na snura na madansa wa snura #team majanga
 Snura kulia Joan na hk manager wa snura.
Haya sasa kama wazungu wanaelewa we mswahili unagoja nini acha kukunja fungua tulisongesheeeee

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ