Wednesday, August 7, 2013

0

WADADA NCHINI WAENDELEA KUCHAFULIWA: NI KWA UWEPO WA PICHA CHAFU KAMA HIZI

Posted in ,


Tabia  ya  kupiga picha  chafu  za utupu  imeendela kuwatafuna  akina  dada  hapa  nchini.....
Tabia hii  ilianzia  kwa  wasanii maarufu kama  WEMA SEPETU,  JACK  WA  CHUZ,  LULU MICHAEL  RAYUU na sasa  imeingia  kwa  warembo wa  kawaida




Pamoja na jitihada za kuwaanika watu  hawa, tabia hii  imeendelea kuota mizizi kila kukicha.Wahusika wakuu wa  uchafu  huu ni akina dada.......
Iko haja kwa  akina  dada  kujithamini.....Kwa  nini  kila siku ni wao tu???

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ