POMBE YANGU ARUSHAMIX | MECCA CHEKA - VEVE YANGU
Posted in Mecca ChekaKama kawaida ya wakazi wa Arusha, na wasanii wake wabunifu wenye vituko. Baada ya ngoma ya Madee kutikisa, sasa Mecca Cheka wanakuja na Veve Yangu (kwa majina mengineGomba yangu, Mirungi yangu.) Kama unakumbuka kushakuwa na remix nyingine zilizopita kama Kiroba(Leka dutigite)
0 Maoni/comments: