ONA JINSI DI MATEO ALIVYOKUA AKIZINDU GUINESS FOOTBALL FANTASY NCHINI KENYA
Posted in Guiness Football Fantasy, Roberto Di MatteoWiki iliyopita kocha wa zamani wa Chelsea, Robert Di Matteo alitembelea nchi ya Kenya kwa ajili ya kuzindua ligi mpya ya mpira Kenya.
Kocha huyo aliweza kukutana na wadau wa mpira nchini Kenya na kuzungumzia vitu vinavyoitajika vifanyike ili kiwango cha soka nchini Kenya kiweze kupanda
0 Maoni/comments: