BEHIND THE SCENE: VIDEO MPYA YA TID F. PROF JAY - RAHA
Posted in Proffesor Jay, TID
T.I.D akiwa katika uandaaji wa video yake ya RAHA ft. Profesa J..Video hiyo inaandaliwa na kampuni ya FINE IMAGE VIDEOS ya hapa vijini dar es salaam. kampuni hiyo ambayo inafanya vizuri katika uandaaji wa video nchini ikiwa na vijana wabunifu watatu..MINZI MIMS(D.O.P), HANSCANA(Dir) na LAURANT FJ(Video composer)
0 Maoni/comments: