Jun
2013
03
TAMKO LA PUSH MOBILE BAADA YA KUTOA MILIONI 10 KAMA MAUZO YA NYIMBO ZA NGWEA
Posted in Ngwair, Push MobileKampuni hiyo imetoa tamko rasmi na kuwahimiza watanzania na wapenzi wa Ngwea kuendelea kununua kwa wingi nyimbo zake kama miito ya simu kwa kuwa malipo yake yanaendelea kusimamiwa na Bongo Records ambao ndio wasambazaji wa kazi za Marehemu.
0 Maoni/comments: