Jun
2013
06
PICHA ZA MDADA ATAKAYENYONGWA KESHO HUKO MISRI | VIDEO YA USHAHIDI WA MADAWA ALIYODAKWA NAYO
Posted in Fatma aka Brown Berry
Hizi picha ni za msichana anayetajwa kuwa ni Fatma aka Brown Berry wa Ilala Dar es Salaam ambae amekamatwa akisafirisha madawa ya kulevya au “unga” nchini Misri. Pia chini kuna video inayoonyesha maafisa wa Egypt wakionyesha jinsi unga huo ulivyofichwa ndani ya begi kabla ya kubambwa


Hapa chini ni video inayoonyesha kukamatwa kwake na unga huo:
0 Maoni/comments: