Jun
2013
30
PHOTOS: JINSI HUDDAH WA BBA ALIVYOHOST MID-YEAR PARTY
Posted in A.Y, Huddah Monroe, Mid-Year Party, Vanessa Mdee
Jana usiku, mrembo/model from Kenya HUDDAH, alikuwa aki-host bonge la party lililofanyika pale ELEMENTS LOUNGE . Huddah ambae alishiriki katika shindano la Big Brother Africa: The Chase 2013 ambalo bado linaendelea huko South Africa … It’s MID YEAR BASH !! Party hiyo ilihudhuriwa na watu mbali mbali jijini Dar, check baadhi ya picha katika party hiyo hapa chini ;
Arthur akiwa na Huddah.
AY
Jamil & Gillsant
Arthur & Nchakalih
Huddah & Vanessa Mdee
Adam Mchomvu & Dullah
0 Maoni/comments: