NEW VIDEO: QUICK ROCKA FEAT SHAAH NA NGWEA(rip) - MY BABY
Posted in Ngwair, Quick Rocka, ShaaWengi tulikuwa tumemzoea kama sio yeye kutuzoesha kumsikia akichana kwa haraka haraka kwa takribani ngoma zake zote zilizopita, lakini sasfari hii Quick Rocka ameamua kuja kitofauti kabisa. Wiki tatu zilizopita nilikutana na Quick na akanitonya kuwa ana ngoma mpya ambayo amechana kwa flow tofauti na tuliyomzoea nayo "My Baby". Na sasa ameachia teaser ya video ya wimbo huo, model akiwa ni Hamisa Mobet.




0 Maoni/comments: