Jun
2013
25
NEW TRACK: JAY KAH ft SULTAN WA PWANI - KISIRANI
Posted in JayKah, Sultan Wa PwaniNGOMA MPYA TOKA KWA JAYKAR AKIWA NA SULTAN WA PWANI. NGOMA INAITWA
KISIRANI. IMEFANYIWA CHINI YA STUDIO ZA THUNDERSOUND PRODUZA AKIWA NI
MORBIZ.
Majina kamil. Ni javis karani mwangu. Ila steji nem ni JAYKAR. Ambalo
ni ufupi wa jina langu kamil.
Natokeaga kilifornia ndo npo sahv sehem najiegesha.
Mie ni rapper. Napenda kurap kuhusu mziki unao elimisha jamii yan
jamii inakuwa inapata elim kupitia mziki wangu.
Kuhusu masomo. Nliweza kumaliza darasa la nane ila sikuweza kuendelea
na masomo sab ya ukosef wa elim. Ila dalil zpo bado sijakata tamaa ipo
day natazamia kurudia na studies mambo yakiwa sawa.
Kwa sahvi. Miaka npo na 19years old. Nilizaliwa mwaka wa 1994 mwez
wapil tarehe mbil.
Yep ishu na kichupa. Napania kufanya soon ya hii ngoma mpya inaitwa
KISIRANI. NILIYOmpa shav msanii mwenzangu anajulikana kama SULTAN WA
PWANI.
Kabla sijamaliza kitu ambacho mafans hawakijui toka kwangu ni kuwa mi
ni mtoto wa kipekee yan mi tuu. Wenzangu watano hawapo waliaga dunia.
So wazaz wangu yan nawadhamin sana. Yan respect kwa pia.
0 Maoni/comments: