Jun
2013
02
HUYU NDIYE ALIYEITWA "KIBAKULI" ENZI ZA KAOLE!!
Posted in Kaole Sanaa Group, Kibakuli

Kikubwa kilichokuwa kinamtamburisha Kibakuli ulikuwa ubonge wake, tofauti na sasa amekuwa mwembamba na amekuwa mtu mzima. Kibakuli alianza kuigiza kwenye miaka ya 1999 yupo darasa la sita wakati akiwa na Nyamayao ambaye alikuwa anaigiza kama dada yake. Hivi sasa Kibakuli ni soundman wa Landline Production na soon atarudi tena mbele ya camera.
0 Maoni/comments: