Jun
2013
28
BABA WA IZZO BIZNESS NI MFANO WA KUIGWA | MTOA SUPPORT
Posted in Izzo Bizness
Wazazi wa Izzo Bizness wanamsupport sana mtoto wao katika muziki..!!
baba Izzo anamwambia mwanae Haya nashukuru jitahidini sana kwenye shooting isije ikaharibu wimbo maana wimbo ule #LoveMe ni mzuri sana, alisema baba Izzo wakati akichati na mwanae.
0 Maoni/comments: