May
2013
14
SNOOP LION, CAMP MULLA NA WENGINE WENGI KUFANYA SHOW YA MTV BASE WIKI HII
Posted in Camp Mulla, Snoop Lion
CONCERT hiyo itakayofanyika KWA ZULU-NATAL katika uwanja MOSES MABHIDA STADIUM huko People's Park, DURBAN itaongozwa na rapper mkubwa duniani famously known as SNOOP DOGG and recently SNOOP LiON ...
#AFRICAALLSTARS imetoa line up ya wasanii watakaopiga show hiyo nchini SOUTH AFRICA kama ifuatavyo ...
Fally Ipupa (@fallyipupa01
Professor(@professorkalawa)
2Face (@2faceidibia),
Flavour (@2niteFlavour)
D’banj (@iamdbanj)
Camp Mulla (@campmulla)
Z akes Bantwini(@ZakesBantwiniSA)
Check taarifa zaidi kuhusu show hiyo itakayorushwa na DSTv katika video clip hii hapa chini :
0 Maoni/comments: