KILICHOJIRI KATIKA GONGA'S TRAFFIC LIGHT PARTY HAPO JANA
Posted in Gonga CEO, Gonga Parties
Kampuni ya GONGA Parties May 30 ilikuwa imeandaa Traffic Light Party
(TLP) ambayo lengo lake ilikuwa ni kuelezea hali za uhusiano za watu
mbalimbali kwa njia ya rangi za taa za barabarani, Nyekundu, Nyano na
Kijani.
Waliohudhuria walivaa nguo za rangi kutokana na hali za uhusino wao:(RED
– Married/taken, YELLOW – Complicated/undecided and GREEN -SINGLE). TLP
imefanyika Golden Jubilee jijini Dar es Salaam na hizi ni baadhi ya
picha.>>>




Dj akifanya makamuzi katika Traffic light party











Gonga akisalimiana na Samisago katika Traffic light party iliendelea







Watu ambao walikuwepo kwenye Traffic light party wakipata burudani ya muziki

Dj akifanya mambo yake kwenye Traffic light party






Watangazaji wa DTV nao waliwakilisha.







Rio Pol





























































CHANZO : BONGO 5




0 Maoni/comments: