May
2013
14
DIAMOND APIGA SHOW KONGO AKIWA KAVALIA VAZI LA JESHI LA KONGO
Posted in Diamond Platnumz
Diamond anafahamika kwa kujaribu idea tofauti za kukonga nyoyo za mashabiki wake kwenye stage.
Akiwa kwenye ziara yake ya Burundi na Congo, Diamond alijaribu kufanya kitu tofauti zaidi kwa kutinga nguo za military polisi (MP) za jeshi la Congo. “Chef de l’armée… #CoNgo ,” ameandika Diamond kwenye picha hiyo aliyoweka Instagram.
0 Maoni/comments: