KAVA LA MOVIE MPYA YA SAJUKI: MOVIE IKO SOKONI
Posted in Sajuki, Wastara
Filamu
aliyoigiza marehemu Sajuki na mke wake Wastara ‘Kivuli’ leo imeingia
sokoni rasmi. Filamu hiyo iliyotayarishwa na Wajay Film Co na kusambazwa
na kampuni ya Steps imewahusisha pia waigizaji Slim Omary na Mohammed
Said.




0 Maoni/comments: