DIAMOND PLATNUMZ - KESHO (VIDEO MPYA)
Posted in Avril, Diamond PlatnumzIle video ya Diamond Platnumz iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu..... Ndio hii hapa, ikiwa imetengenezwa Nairobi, Kenya na jamaa wa Ogopa Videos. Ni video kali ambayo pia inamuonesha mdada Avril kutoka huko huko Kenya ambae ameonekana kama video queen humu. Take Your Time na Uiangalie.................
0 Maoni/comments: