THE RETURN OF THE KING>> AFANDE SELE KUACHIA SONGI JIPYA PAMOJA NA VIDEO MBILI
Posted in Afande Sele
Afande alisema kuwa kabla ya ngoma hiyo haijaenda sokoni ataachia kwanza video za ngoma zake mbili ambazo ni ‘Mr President’ na ‘Mashokoro Mangeni’, ambazo hazikufanya vizuri kwenye radio stations, anaamini kwenye upande wa televisheni zinaweza kufanya vizuri.
“Kwa sasa kuna goma yangu mpya ambayo natarajia kuachia lakini sina mpango wa kupeleka kazi yangu radioni, na ndiyo maana nataka kutoa video za ngoma zangu mbili,” alisema.
0 Maoni/comments: