BADALA YA KUKUTA SIFA NZURI JUU YETU TUNAKUTA HABARI KAMA HIZI CNN ''WHY TANZANIANS BELIEVE IN WITCHCRAFT''
Unaamua kutembelea site ya CNN,Africa's edition! Unakuta
*Senegal imepambwa na ''Africa's capital of Fashion''
*Nigeria imepambwa na ''The secret of Nollywood's success''
Halafu TANZANIA..''WHY TANZANIANS BELIEVE IN WITCHCRAFT!!''
Kweli?Is that what we are good at?Is this what we are best known for huko nje ya nchi??UCHAWI?
[Inauma sana]
0 Maoni/comments: