Washiriki Wanawake Toka Saudi Arabia Kuvaa Hijabu
Posted in London Olympics 2012
Kamati ya Olympic ina mpango wa muzuia na kumrudisha nyumbani Wodjan Shahrikhani baada ya kulazimisha kushiriki Judo akiwa amevalia ''Hijabu'' na wwanawasiwasi mwenzake ambaye atashiriki riadha anaweza akashikilia uamuzi wake wa kukimbia na Hijabu..
Olympics wamesema ni either uvue Hijabu ukiwa mashindanoni au usepe kwenu
0 Maoni/comments: