Jun
2012
16
A Dozen Quest Ilianza na NURU The Light(Interview With Nuru)
Posted in A Dozen Quest, Nuru
Nuru: MY NAME IS NURU AND MY A.K.A IS NURU THE LIGHT
2.Marital Status? Mhusika anaitwa nani?
Nuru: NO COMMENT
3.When Did You get serious with the game?
Nuru:SINCE THE AGE OF 16 WHEN I GOT SIGNED IN EUROPE AND HAVE RELEASED SINGLE OUT THERE.2000 I CAME TO TANZANIA TO BURRY MY GRANDMOTHER AND SAW THE MOVEMENT OF BONGOFLAVA SO I WENT TO THE STUDIO AND GOT STARTED ON MY SWAHILI ALBUM AND HAS SINCE THEN RELEASED 5 SONGS AND MY NEW SONG IS CALLED SUPASTAA
4.Who inspired you?
Nuru: IN WHAT,SINCE I HAVE ALOT OF PEOPLE WHO INSPIRES ME IN DIFFERENT SECTORS NOT ONLY MUSIC.ORDINARY PEOPLE,MYSELF,MY FAMILY,MY PARENTS,OTHER ARTISTS,MY TEACHERS AND PEOPLE CLOSE TO ME INSPIRES ME ALOT.
5.Apart from Music what do you do?
Nuru: APART FROM MUSIC I WORK JUST LIKE ANYBODY ELSE.MIMI NI MTU NAPENDA JISHUGHULISHA KWAHIVYO NINA KAZI KABISA KAMA WEWE NAAMKA ASUBUHI NANEDA KAZINI BECAUSE NAPENDA KUWA NA DISCIPLINE IN LIFE.APART FROM MUSIC I RUN TWO BLOGS WHICH ARE CALLED Nuru The Light Blogspot AND Nuru The Boss Blogspot NA PIA NINA PROJECTS ZANGU ON THE SIDE AMABAZO HAZIHUSIKI NA MMZIKI KABISA.
6.Fan Wa sports Team Gani Tz na Abroad??
Nuru: MIMI TEAM YANGU NNAYOIPENDA INAITWA TEAM NURU..,SIMPLE AS THAT
7.Umepata Mafanikio Gani katika fani yako??
Nuru: MAFANIKIO CHA KWANZA KABISA NI EXPOSURE,KUWEZA KUSAFIRI NDANI NA NJE YA TANZANIA.CHA PILI NI KUJUWANA NA WATU WA AINA ZOTE,CHA TATU NI KUWEZA KUMAKE A DIFFERENCE,KUWA NA SAUTI INAYOWEZA SKIKA MAANA UWONGO MBAYA ILA MTU ANAYEJULIKANA AKIONGEA HUWA ANASIKILIZWA SO KUWA NA HIYO NGUVU NI KITU KIKUBWA SANA NA KINATAKIWA KUTUMIKA VIZURI.KUWEZA KUWAPA WATU BURUDANI NA PIA KUBADILISHA MAISHA YA MTU NA YANGU BIANFSI.
8.Umekuwa na dream ya kuwa kama nani??/Dream ya kufanya kazi na nani?
Nuru: MIMI DREAM YANGU ALWAYS NI KUWA KAMA MIMI NA SI MTU MWENGINE NA MALENGO YANGU BADO SIJAYAFIKISHA YOTE INGAWA NIKO NJIANI.KUNA WATU BADO SIJAFANYA NAO KAZI BUT HIZO NDOTO NAFKIRI KABLA MWAKA HUU HAUJAISHA NITAZIFANIKISHA.
9.Umeshakua Involved in any Beef??
Nuru: HAPANA NA SITOKUWA INVOLDED IN ANY EITHER.UNAJUA KUWA NA MSIMAMO NA KUJUA KIPAJI CHAKO NA UWEZO WAKO NA KUJIAMINI KAMA WEWE HIVYO VITU VINAKUFANYA USIMAME NA HATA MTU AKIJA AKITAKA KUKUONYESHA THE OPPOSITE HAUNA HAJA YA KUJIDOUBT WEWE MAANA UNAJIAMINI NA MIMI NI MTU NAJIAMINI MAANA MAMA YANGU ALIKUZA MWANAMKE ANAYEJIAMINI.
10.Whats Your favourite DressCode??
Nuru: MIMI STYLE YANGU NAPENDA KUVAA VITU NIKO COMFORTABLE IN THEM SO I WOULD SAY KWAMBA HICHO NDO KITU NATIZAMA NO MATTER WHAT OCCASION AU FUNCTION MAKE SURE ULICHOVAA KIKO COMFORTABLE NA KINAENDANA NA MWILI WAKO.
11.Unamkubali Fashionist gani na What Fashion Brand??
Nuru: NAJIKUBALI MWENYEWE NA SOLANGE MUIMBAJI AMBAYE NI NDUGU YAKE NA BEYONCE MAANA YEYE ANAVAA KULIKO DADA YAKE.NA SASA HIVI TANZANIA TUNAWABUNIFU WENGI WAZURI WANAKUJA KAMA BINTI AFRIKA,ESKADO BIRD NA YULE NILIVAA KWENYE VIDEO YANGU YA MUHOGO ANDAZI NI MTANZANIA ANAISHI UINGEREZA ANAITWA CHRISTINE NA BRAND YAKE INAITWA CHICHIA LONDON DUKA LIPO MASAKI KARIBU NA CLUB MAISHA KAMA SIKOSEI LINAITWA MADE BY AFRICA
12. Favourite Activity
Nuru: BESIDES KUIMBA NAPENDA KUFANYA MAZOEZZI NA SIPENDI GYM BALI DANCING,DANCECLASSES,NAPENDA KULA PIA HAHAHAHAH HIYO NAYO SI ACTIVITY,NAPENDA KUCHEKA,NAPENDA KUHANG WITH MY GIRLS,KUSOMA VITABU VYA PHSYCHOLOGY NA SHOPPING OFFCOURSE..,
She is on Facebook Nuru on Facebook
0 Maoni/comments: