Diamond kupiga Live Show Big Brother Jumapili Hii
Posted in Big Brother Africa Star Game, Diamond Platnumz
Msanii huyo anayetamba kuwa nominee wa MTV African Music Awards na tuzo kibao za Kilimanjaro Music Awards, ameondoka nchini leo kuelekea pande za madiba tayari kuwapa moto wa Diamond Platnumz Baby!
Source: bongo5.com
0 Maoni/comments: